2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ila Barcelona ina mchango mkubwa sana juu ya hatma ya Timu ya Spain. Vijana ni talented vibaya mno, halafu umri ni mdogo kabisa.

Kwa namna wanavyocheza pamoja na wastani wa umri wao, wanaweza kudominate kwa muda mrefu sana soka la ulimwengu
 
Hata 2010 wachezaji wengi walitoka Barca, ubora wa Spain unategemea sana Barcelona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…