SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 1,305
- 1,997
On target zerooooooUmesikiliza vzuri lakini??? πππ
Barcelona ni kama maji...Piga umbwaa hao
Naunga mkono hoja, ni tapeliNico William amelipwa na infantino ili apige mpira nnje, muafrica ni muafrica tuu
πΉπΉπΉπΉ AloohTop scorer π€£π€£π€£π€£
Kombe la mbelekoπNyie kenge tuna medali ya kombe la dunia
Hilo liwekeni kichwani
Dogo kafanya upuuzi katika nafasi muhimu kama ileKile amefanya Niko pale hakikubaliki.