comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,274
- 16,662
Una miaka 22 sio kosa lako mkuuIkitokea hivi kwa watu wasio hata na shot off target na wako punguza
Nitaachana rasmi na kuangalia mpira kwa umri huu wa miaka 22
Unavyoongea utasema team yako Spain😂Haki huwa inacheleweshwa tu
Messi kufika fainali ilikuwa ni business project.Argentina hakuweza kukutana na timu ngumu.
Timu yao ni ya kawaida tu.
England ni ujinga wao tu kuwaza kushikilia bomba mapema.
Spain hawajacheza kikubwa. Hii game walistahili kuimaliza mapemaUnaangalia game mdau?
Anasikiliza kwenye redio huyo na mtangazaji wake ni team Messi ko hapo hakuna Kinachosikika zaidi ya kumsifia messi na Argentina tuUnaangalia game mdau?
Spain wangekuwa kwenye form mpira ungeisha dakika 90. Fainali mbovu sana hii, unacheza na timu haina on target wala off target dakika 100+ na wala haijapaki basi unaenda unampa kipa mipira tu. Kila ukienda kushambulia unajivuta kama mlenda, mpaka mrundikane golini mpige chenga na mbwembwe nyingi, mpige na mashuti dhaifu. Mpira gani huo.Kwamba mashuti zaidi ya 20 na goli moja na save kama zote za Emiliano Spain hawafanyi kitu?
Toka nizaliwe nimeangalia fainali zote toka 1998 world cup hakuna fainali one sided kushinda hii, inafanana na PSG na inter ucl