2026 FIFA World Cup - Special Thread

Machawa nilijua ni bongo tu

Baba levo wa Argentina wana shauti Messi

Afadhali wangemtaja Martinez
Your browser is not able to display this video.
 
Wazee wa 1.5 over kama nawaona vile mkiwa na hasira ila hamuwezi kusema kwasababu ni hasara iliyoletwa na mchezaji wenu.

View attachment 3633014
Mkuu unakumbuka game moja uefa Barca vs Chelsea ilikuaje? Nadhani nusu fainali uefa. Barca waliupiga haijawahi kutokea. Lkn walitupwa nje.

Game ya juzi tu hapa Arsenal vs PSG unajua nini kilitokea.
 
Argentina hakuweza kukutana na timu ngumu.

Timu yao ni ya kawaida tu.

England ni ujinga wao tu kuwaza kushikilia bomba mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…