2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hapa ingekuwa ni Algeria tayari jamaa ana hattrick

Waandishi nje wanajiandaa kutafuta caption za kuuzia magazeti yao.

Ila kwasababu ni mfupa mgumu inabaki kuwa kimya.

Kutana na Messi wa mechi ngumu
 
Ngoja hydration break iishe Argentina mida yao ifike. Spain wanacheza kama wamefungwa jiwe kiunoni, mpira mwingi strikes za maana lango la adui hamna. Wanapaka sana rangi.
 
Mpango kazi wa Spain uko juu kiasi kwamba najuta kwa nini nilidhani France angechukua hili kombe mwanzoni. Hapo Argentina wanateseka sana. Kila mfumo umevurugwa jamaa wanabana hadi nafasi ya kuvizia
 
Lamine Yamal sitakuongelea vibaya tena labda ikitokea El Classico ila sehemu zingine hapana leo umenikosha
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…