2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwa jicho la mpira naona kabisa mtu na mwalimu wake sidhani Kama mwalimu atakubali kufungwa na mwanafunzi wake

Hii gemu ni Spain au Argentina labda atumie ujanja Kama kucheza na refa but real football Argentina atoboi hii game
 
Kwa mazingira haya ArgentFifa akishinda basi kombe la dunia la msimu huu litakuwa limechukuliwa na timu dhaifu sana
Ukitaka uone udhaifu wa argentina omba spain apate gori alafu uone msako utakaopigwa.....timu penadol acheni makasiriko Argentina ni timu strong sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…