Mimi ndio refa, asante....🥰Refa nimempenda bure.
Chondechonde asije kuanza kuleta uteam mbeleni.
Potelea pweteIla ana goli 1 tu so far.
Kelele haziwez kuisha, mpaka pale ronaldo atakapopata worldcup ndio mzani utakua sawaNitafurahi sn wakishinda
Tupumzike na hizi kelele za messi
Wawe makini naye sana kama sio kufunga anaweza toa assistLazima afunge huyo dogo kuna namna Argentina wanafanya sana makosa huo upande.
Chagua timu ukishinda itabidi niusindikize usiku wako na shawarma ya ngamia.Wallah huu mtanange sijawahi hata kutizama,
SaanaKwenye possession Hispania wako vizuri sana.
Haijalishi,lakini kafikisha Spain final,Namba za magoli kuwa ndogo,haziondoi ubora Wa mchezaji,mbape anamagoli kumi Leo Hii NI mshindi Wa Nne huko analilia chooniIla ana goli 1 tu so far.
Huyo andunje leo anapewa kipigo na team yake.. we tulia ujionee..!Nitafurahi sn wakishinda
Tupumzike na hizi kelele za messi
Magoli ndo kitu gani angali mpira huoIla ana goli 1 tu so far.
Naweka matukio yote ili baadaye msije kuanza kusema nina biasDaah umewakalia kooni Argentina
Jmn si amestaafu au?Kelele haziwez kuisha, mpaka pale ronaldo atakapopata worldcup ndio mzani utakua sawa
Mtu kavutwa na mkono unasema sio faulo!Huyu Messi anachezea ustaa ila hajafanyiwa faulo kivile.
Tangu mwanzo unamponda weeeee, leo umekubali🙆♂️
Kwahiyo kombe litaenda kwa atakaye cheza vizuri tu sio?Magoli ndo kitu gani angali mpira huo
scars naomba link
🥰💪💯Haijalishi,lakini kafikisha Spain final,Namba za magoli kuwa ndogo,haziondoi ubora Wa mchezaji,mbape anamagoli kumi Leo Hii NI mshindi Wa Nne huko anaulilia chooni
Vijana wa Cr7 hao.Tangu mwanzo unamponda weeeee, leo umekubali🙆♂️
Daaah shawarma,umenikumbusha znz.Chagua timu ukishinda itabidi niusindikize usiku wako na shawarma ya ngamia.