Refa nimempenda bure.Refa hacheki na wowote
Fifa imeliuza soka kwa matajiri/mabeberu...Unaambia bei ya tiketi leo ni hatari
Be patient....Argentina hata sielewi mpira unachezwa kulia tu
Tunaye sana huyo MessiLeo Messi anastaafishwa rasmi na kinyago alichokichonga mwenyewe 😹
Mpaji Mungu japo France tumetolewa lakini tuko Spain au sio?