The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,987
- 117,379
🤣🤣 andika waraka kama anaomba CVnina boooonge la usingizi afu mwmba analeta chuki zake ananichanganya atoke humu timu zake zishatolewa
Ngoja tusubiri, inaweza ikawa ndoo ya MajiMessi hii ndoo ni yake
Hayo maombi omba wewe..😃😃Tuombe rodri aumie dakika za mwanzo ili spain apotee
Rodri anajua kucheza mido sio poa ananipandishia sukar😆
Mechi bora England Vs Argentina 😃Kwa Upande wangu mpaka sasa
Mfungaji bora: ?? (Tusubiri fainali)
Mchezaji bora: Lionel Messi
Mchezaji bora chipukizi: Curbasi
Golikipaa bora: Unai Simon
Goli Bora: Lopes Cabral, Cape Verde Vs Argentina
Mechi Bora: England Vs Argentina
Ushangiliaji bora: Norway
Timu iliyofeli kufikia malengo: Ureno
Timu iliyonishangaza: Norway
Mchezaji aliyeonyesha kiwango cha chini : Bruno Fernandes
Weka ya kwakoMechi bora England Vs Argentina 😃
Ile ilikuwa mechi ya mpira wa miguu au mashindano ya kurukiana mwilini ?
Ni kwa mujibu wa chanzo gani hiki?Timu iliyofeli kufikia malengo: Ureno
Umeanza kusoma kuanzia pale juu?Ni kwa mujibu wa chanzo gani hiki?
NdiyoUmeanza kusoma kuanzia pale juu?
Safi.Kwa Upande wangu mpaka sasa
Mfungaji bora: ?? (Tusubiri fainali)
Mchezaji bora: Lionel Messi
Mchezaji bora chipukizi: Curbasi
Golikipaa bora: Unai Simon
Goli Bora: Lopes Cabral, Cape Verde Vs Argentina
Mechi Bora: England Vs Argentina
Ushangiliaji bora: Norway
Timu iliyofeli kufikia malengo: Ureno
Timu iliyonishangaza: Norway
Mchezaji aliyeonyesha kiwango cha chini : Bruno Fernandes