2026 FIFA World Cup - Special Thread

Miaka hii wewe ulikuwa bado hujaanza kushabikia mpira au ulikuwa tayari ila ni ule upepo wa Messi ulikuwa bado.

Haya ni maisha yake kabla ya Gianni InfantinoView attachment 3632780View attachment 3632781
Mdogo angu kwa taarifa yako mm ni age go toka miaka ya tisini enzi za akina Ronaldo De Lima.. miaka ya 2000 enzi hizo Akina Luis Figo wananyang'anyana ballon d'Or na akina Francisco Totti. Mpaka kizazi cha mwisho mwisho cha akina Pavel Nedved, Andriy Chevshenko na wengine mpaka hawa akina Messi na Ronaldo.. Unavyoniletea story ya juzi hapa it seems we ni mtoto... The way ulivyo ileta hiyo conversation nimegundua ww ni bwana mdogo sana
 
Infantino ndio alifanya Ronaldo asiwafunge congo? Akamzuia Ronaldo pia asishinde mechi na Colombia? Akamzuia pia asiende robo fainali?
Unafahamu nacho kizungumza leo, kiliwahi kuzungumzwa na Messi miaka 7 iliyopita?

Hapa unaweza kuniambia Messi alikuwa ana maanisha nini?

Kwamba haya malalamiko yake kuwa mashindano yamekuwa rigged kwa Brazil alikuwa ana maanisha Raisi wa FIFA ndio aliyewazuia Argentina kutoifunga Brazil kwenye mashindano ya Copa America?


Your browser is not able to display this video.
 
Sawa mkongwe nakubali wewe ni age go na kupitia ukongwe wako nataka niutumie kufanya kumbukizi ya baadhi ya mambo ambayo vijana wa sasa hawakuwahi kuyashuhudia.

2010 wakati Messi anapola Ballon d'Or ya Iniesta, Sneijder ulishuhudia?

Kama hukushuhudia basi usijali, lile tukio linaenda kujirudia tena msimu huu.

Round hii victims ni wengi kuna Harry Kane, Dembele, Mbappe, Lamine Yamal.
 
Mkuu hebu elezea kidogo na mwaka ambao Frank Ribbery alitapeliwa Ballon d'Or
 
Vijana wangu wa Barcelona leo Wana kazi ya kumkaba Mzee wao waliokua wanamsoma kwenye vitabu wakiwa mafunzoni la masia, kila la heri
Vijana wako wa Barcelona wana kazi nyingine ya ziada kumkaba huyu mchezaji kiraka ambaye anaingia na filimbi.

Kamsikilize Raisi wenu wa Barcelona Laporta, wasiwasi wake sio huyo mchezaji wako.

Wasiwasi wake upo kwa huyu
 
Nimekuuliza swali rahisi umeleta mzunguko mrefu na video juu unajitesa bure tu
 
🚨 TRIVIA:

🇧🇷 2014: Lionel Messi lost the World Cup final at the Maracanã… and later returned to win the Copa América at the very same stadium.

🇺🇸 2016: Messi lost the Copa América final at MetLife Stadium, announced his international retirement… and now returns to the same stadium to play another FIFA World Cup final. 👀🐐
 
Mkuu hebu elezea kidogo na mwaka ambao Frank Ribbery alitapeliwa Ballon d'Or
Ni kweli ile 2013 haikuwa Ballon d'Or ya halali kwa Ronaldo.

Hii mimi naweza kuisema na nikaelezea situation.

Raisi wa FIFA wa wakati huo Sepp Blatter aliwahi kutoa kauli za kejeli kwa Ronaldo. Alisema yeye anamkubali Messi, Ronaldo kwake sio mchezaji mkubwa na hana chochote zaidi ya kubadili style ya nywele.

Hii ilimuongezea uhasama zaidi kule Portugal na mashabiki wa Ronaldo duniani walimchukia.

So jamaa kulinda nguvu yake ya ushawishi akajua amefanya mess up kubwa ukizingatia Madrid na Ureno walikuwa na nguvu kubwa.

Blatter akaamua kusogeza mbele muda wa kupiga kura kitu ambacho hakijawahi kufanyika katika historia ya tuzo hizo ndio kilileta tafsiri hiyo.

Lakini pamoja na hayo Messi alikuwa mtu wa pili ambaye alikuwa na kura 24.72% huku Frank Ribbery akiwa mtu wa tatu akiwa na jumla ya kura 23.36%

Hii ina maanisha kwamba kusingekuwa na Blatter kujisafisha bado tuzo isingeenda kwa Ribery ingeenda kwa Messi.

Hoja ni, je Messi alistahili hata hiyo nafasi kuwa mbele ya Ribbery?
 
Mkuu for the first time umekua mkweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…