2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ubishi wa Messi huwa unalazimishwa tu, hata wenyewe wanaobisha wanajua ukweli kuwa ni GOAT. Ronaldo ni Bora lakini hawezi kuwa level ya Messi kamwe. Hili Mimi nilishaligundua tokea 2012. Mimi ni shabiki wa man utd lakini niligundua ubora wa Messi toka 2012 nikaacha ujinga
 
Tukiacha unafiki na uzandiki, hii mechi ni ya uhispania, bingwa ni uhispania kabisa, sioni kama Kuna kitu Cha kuizuia Spain kuwa bingwa hii leo
Ikiwa tofauti? Wenzako walibweka post nyingi mara bingwa France, mara bingwa England. Mpira haupo hivyo ndio maana mnaumia sana sababu mnakua na matokeo yenu kabla
 
Ronaldo hana world cup kama akina Ramadhan Chobwedo tu... Baadae ndo utapata stress zaidi.
Miaka hii wewe ulikuwa bado hujaanza kushabikia mpira au ulikuwa tayari ila ni ule upepo wa Messi ulikuwa bado.

Haya ni maisha yake kabla ya Gianni Infantino
 
Huyu shabiki wa Ronaldo mnampa Airtime sana aise..
Embu muacheni ajifariji kudadeki.
We mtu kahama timu kama changudoa anavyobadilisha mageto leo tena akikamuliwa huko alipohamia still atabaki na akili yake finyu ya kujustify kile anachokiamini so bado atahama mageto tu sababu ni malaya .
 
One Faced Champions. One Faced Algeria

Hattrick muda wote inafahamika kama ni mafanikio, lakini Quality ya mpinzani ndio sehemu ya mjadala

Ronaldo kafunga hat-trick dhidi ya Spain iliyosheheni miamba wa world-class players, Mbappé kafunga kwenye fainali ya World Cup dhidi ya Argentina.

Performance zote hizo zilikuja dhidi ya timu ngumu zenye madaraja ya juu.

Hattrick ya Messi imekuja dhidi ya Algeria ambao hawana uzani mkubwa kimataifa.

The goals still count, but comparing hat-tricks without considering the level of the opponent can be misleading.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…