2026 FIFA World Cup - Special Thread

France nyeupe sana, hata England wangerejesha kina Beckham wasingepata hata sare mbele ya ile Argentina ya Messi yenye njaa na ubingwa wa Dunia mkuu.

#Hallelujah!!!
England ile kipindi cha pili haikuwa na attempt dakika 20. Alianza Madueke wakati wachezaji wa maana wapo. Ilianza defensive mapema sana. Ilikuwa ni mbinu mbovu za kocha.
 
Japo inawezekana Ufaransa wakawa walishatobolewa na spain Wakatoliki pakubwa ila huyu tuchel anatufanyia kusudi ili kutufelisha, wanaopaswa kushinda ili wapate kiatu hajawaweka na waliopaswa kuanza ili walete ndoo nyumbani hakuwaweka kikosini
 
Hizi goli 2 za Saka zingekuwa za Kane si illikuwa big deal kabisa?
Your browser is not able to display this video.

Lakini kocha kaamua yake
Your browser is not able to display this video.
 
Japo inawezekana Ufaransa wakawa walishatobolewa na spain Wakatoliki pakubwa ila huyu tuchel anatufanyia kusudi ili kutufelisha, wanaopaswa kushinda ili wapate kiatu hajawaweka na waliopaswa kuanza ili walete ndoo nyumbani hakuwaweka kikosini
Confusion sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…