Greatest Of All Time Platinum Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,550 Reaction score 62,019 Jul 15, 2026 #16,661 Shadeeya siku zote chizi hata aende mbali vp lazma atarudi na makopo
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,784 Reaction score 6,568 Jul 15, 2026 #16,662 Imeishaa hiyoo
Seawhale JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 1,895 Reaction score 2,540 Jul 15, 2026 #16,663 From zero to hero.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,676 Reaction score 128,227 Jul 15, 2026 #16,664 Palac said: Mlijificha kumbe Click to expand... Hahahaaa. Lol
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,748 Reaction score 18,096 Jul 15, 2026 #16,665 Saint Anne Kuna watu washakimbia uzi mamamaaae
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 53,536 Reaction score 133,016 Jul 15, 2026 #16,666 Nilale tu hii hate watch yangu haina maana kwa leo Viva Spain tukutane fainali Your browser is not able to display this video.
Nilale tu hii hate watch yangu haina maana kwa leo Viva Spain tukutane fainali Your browser is not able to display this video.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 78,950 Reaction score 236,667 Jul 15, 2026 #16,667 Hii mechi ingekuwa ufaransa tungeimaliza mapema sana
Kisouda Senior Member Joined Jun 9, 2026 Posts 159 Reaction score 526 Jul 15, 2026 #16,668 Kuna yule Fara alikuwa anatuma viclip vya faulo yuko wapi?? Najua kasha hamia geto la wanaume wa Spain... kabadilisha mageto sana huyu.
Kuna yule Fara alikuwa anatuma viclip vya faulo yuko wapi?? Najua kasha hamia geto la wanaume wa Spain... kabadilisha mageto sana huyu.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jul 15, 2026 #16,669 Wa England macho kodo
Mwananchi B JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 2,269 Reaction score 5,399 Jul 15, 2026 #16,670 Hawa England hawana tofauti na wamatumbi. Sasa wakijidanganya kufunguka wanapigwa chuma nyingine za aibu. Saizi warudi wapunguze idadi ya magoli maana walichokitaka wamepata sasa.
Hawa England hawana tofauti na wamatumbi. Sasa wakijidanganya kufunguka wanapigwa chuma nyingine za aibu. Saizi warudi wapunguze idadi ya magoli maana walichokitaka wamepata sasa.
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,958 Reaction score 183,574 Jul 15, 2026 #16,671 uran said: Wachawi hawa Click to expand... Pole sana🤣🤣🤣
Greatest Of All Time Platinum Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,550 Reaction score 62,019 Jul 15, 2026 #16,672 Tunabebwa sana, ona sasa hizi penati mbili zimeturudisha mchezoni😂😂
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,767 Reaction score 20,869 Jul 15, 2026 #16,673 Its over
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,437 Reaction score 145,406 Jul 15, 2026 #16,674 Strategy England ni mbovu sana! Huwezi kushinda mechi kwa kujihami tu. Especially kama washambuliaji ni wazuri, lazima watafunga tu. Sijui ni akili gani tu ambayo hutumika kuamua kucheza mchezo wa kujilinda tu. England wanatolewa.
Strategy England ni mbovu sana! Huwezi kushinda mechi kwa kujihami tu. Especially kama washambuliaji ni wazuri, lazima watafunga tu. Sijui ni akili gani tu ambayo hutumika kuamua kucheza mchezo wa kujilinda tu. England wanatolewa.
Kubwjing JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 3,288 Reaction score 5,963 Jul 15, 2026 #16,675 Bora tu England atoke, ana uwezo mdogoo...ht beki yake ni ya kubabaisha tu🤣
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 19,101 Reaction score 31,986 Jul 15, 2026 Thread starter #16,676 Greatest Of All Time said: Hii ndio Argentina mamaeeh Click to expand... Wanaloga sana
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Jul 15, 2026 #16,677 Dakika hizi mkishakua mbele zikarurudishwa kuchomoa ngumu sana Stupid England
Palac JF-Expert Member Joined Mar 29, 2025 Posts 3,774 Reaction score 10,094 Jul 15, 2026 #16,678 uran said: Wachawi hao Click to expand... Tulia tulia utaokota mpira sasa kakutane na France unaambiwa wachezaji wamezichapa na kocha wao
uran said: Wachawi hao Click to expand... Tulia tulia utaokota mpira sasa kakutane na France unaambiwa wachezaji wamezichapa na kocha wao
The ghost writer JF-Expert Member Joined Apr 5, 2023 Posts 967 Reaction score 1,971 Jul 15, 2026 #16,679 FiFa pumbavu, Messi pumbavu, Argentina pumbavu
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,676 Reaction score 128,227 Jul 15, 2026 #16,680 Wale ambao huwa tunalaumu timu za Africa zinakata moto mida ya jioni leo inabidi tufute kauli. 🤣🤣