Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,962
Hata hivyo kwangu yeyote atakayechukua ni sawa tuUsimalize maneno
Usijali habebi yeyeπEngland na Argentina zote timu zangu
akibeba Spain ubingwa nitaumia Sanaπ
Ushindi ni ushindi haijalishi kupitia nini muhimu uwe halali tu
Anza kama ulivyoanza na taaluma yako ya urefa.Kwa hapo walipendelewa? So leo Ufaransa alipendelewa.....
Hiyo picha ya tatu, ilikuwa mechi na nani?
Kikubwa ataechukua awe Ana stahili!?Hata hivyo kwangu yeyote atakayechukua ni sawa tu
Akifungwa Argentina napika supuHatoboi
Argentina si nacheza kesho na England?Haiwezekani timu iliyofika fainali kucheza na timu iliyotolewa
πππ
Ngoja nione km ataeaweza watt wa elf 2 na 5 wa Spain damu changa
Cherk na olise walewale tu sio wachezaji wa game kubwaKocha wa ufaransa alikariri wachezaji hakusoma aina ya mchezo. Cherki ilibidi aingie mapema sana.
Watanzania wote tuna hali ngumu.Mkuu una hali ngumu sana
So leo kulikuwa na favor kwa Olise?(Natumia mtizamo wako)Anza kama ulivyoanza na taaluma yako ya urefa.
Hiyo hapo pichani una amua nini?
Na hapo kumbuka kuna favor za Messi na kuna favor za timu.
Faulo 14 hakuna kadi, mwenye faulo 11 ana kadi 5
Kuna vitu hata ukipinga unaweza kujiona mjinga.
HahahaWanaweza kulegezeana
Spain na Argentina wakikutana ni mechi ya kindugu.
Hata humu ndani watashindwa waende na na nani ila kwasababu Dwarf ndio waliyeanza naye tangu 2022 nadhani huyo ndio atakuwa priority.
Ndio ni favor kwani uongo?So leo kuliwa na favor kwa Olise?(Natumia mtizamo wako)
Nimekuuliza Argentina alicheza na Uholanzi 2026,maana picha ya tatu ni beki ya Uholanzi Ake na hapo ilikuwa kwenye boksi la Uholanzi bila shaka, sasa wewe ulitakaje kwenye hiyo picha refa afanyaje.
Nani aende na Messi?Hahaha
Hakuna cha undugu kwenye mchuano...
Mi ni team spain πͺπΈ π
Humu team mbape wataenda na messi