2026 FIFA World Cup - Special Thread

Yamal kabakiza Uefa na ballon d'or

Euro &WC tayari

Dogo anaweza kumaliza boli katika umri mdogo sana.
Wakati huo beberu wa kireno hata fainali ya world cup hajawahi kucheza, baba yake yamal ni mdogo kiumri kwa beberu wa kireno.

Yani yamal kacheza fainal ya wc kitu ambacho beberu la kireno linakiota na kimegoma kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…