2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kelele zao zitamalizwa ndani ya uwanja.

Ulaya timu inayoipa tabu Spain labda huwa Ureno hata Spain huwa anashinda kwa tabu ila Ufaransa kwa sasa ni uji tu mbona mechi ilikuwa wazi matokeo yake yanafahamika kabla hata ya game kuanza.
Hii mechi imeshangaza wengi aisee ..Spain wamewasoma vizuri sana Ufaransa..

Hawa wajukuu wa Charles wakitinga fainali baada ya miaka 60 watakamia mno ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…