2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kweli wewe ni takataka pia kashabiki uchwara ka CR7 Unaandika ujinga ukiambiwa ukweli unaleta mambo ya jinsia.
 
View attachment 3627667
Mfano ili group taifa staz tungeshindwa vipi kupita hapa. algeria tushacheza nae sana huyo tunamkazia tunachukua sare. Tunampiga jordan. Huyo austria hata akitufunga point 4 tunapita gruop stage
Unaizungumzia Stars ipi..hii ya Tanzania..tuache unafiki..tulishindwaje kufika Makundi kama Congo?
Msituharibie mpira bwana nyie ficheni aibu zenu mida mingine.
 
Hapa hapakuwa na kadi ila hakuna kelele

Ingekuwa mchezaji wa Argentina ndio kafanya hiviπŸ˜‚sukari zingekuwa juu sana plus essay za kutoshaView attachment 3627926
Nimekuja kugundua kiwango cha chuki kinavyozidi kuwa juu ndio maendeleo hatunaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kuna mtu anajaribu kutudanganya kabisa eti stars angefika mbali..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…