Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,210
- 9,051
Kinyonge sana mkuuHaya!
🔥Martinez kaingia sub... Game over Argentina 2-1
😃😆😀Switzerland wametuchosha bure kbabake zao .....tangu saa 10 mfyuuu
3-1 n a sio 2-1[emoji91]
Yes ila Martinez ni super sub3-1 n a sio 2-1
Umesahau kumtia kisukari na presha Scars kwamba MESSI 🐐 🔥 katia assist 1 kashika rekodi ya dunia tangu iumbweArgentina wanaenda nusu fainali. Ushindi wa magoli 3-1 dhini ya uswiss. Magoli ya McAllister, Julia Alvarez na Lautaro Martinez.
Leonel Messi ameshindwa kupata goli leo ili aongeze kumzidi Mbape.
Argentina watakutana na Watanashati Uingereza siku ya tarehe 15 saa 4 usiku.
Word...Kwenye soka lolote linaweza kutokea lakini sioni namna gani Wanaweza kupambana na Argentina. Argentina safari yake itafika mwisho kama atakutana na England semi final
Wamekutana na Dude kubwa..Norway shida hawana mpira mzuri, hawana ushindani wa kutosha
Naomba nipe kesi ya UHAINI haya maneno yako uchwara yakitimia...Kwenye soka lolote linaweza kutokea lakini sioni namna gani Wanaweza kupambana na Argentina. Argentina safari yake itafika mwisho kama atakutana na England semi final