Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,210
- 9,051
Hii mechi wametumwa kufia uwanjani, last game vs Egypt walicheza kitoto sana... Egypt ingekuwa serious last game ingetufunga hata goal 5Hawa Argentina kadiri mechi zinavyoenda mbele wanadhidi kuwa tactical. Walinipa mashaka sana na beki zao, lkn naona wamekuwa makatili sana
Pole kama umetoa inatosha, kwetu singida wanatibu kienyeji kwa ndulele (sijawahi ona nasikia tu) unaambiwa halitakaa liume tena.Aah ok, safari njema..
Dawa sio kuliondoa jmn, tutaondia mangapi?
5 nimetoaππ
Ni vile sijapata tu watu waxuri wa mitishamba sshv wengi feki mpk umpate wa ukweli ni kipengel...π
Nitafanya ile ya kuua mizizi kutoa tena hapana aisee
Hapa unapoondoka. Aaaa kile cha alfajiri bana.Dah huduma ipi hiyo tena?
Unirudishe wapi?
Dah ni huzuni i wish i cudu be an IGP πHapa unapoondoka. Aaaa kile cha alfajiri bana.
π€£ππ½ Hii doria yako ya mtandaoni labda umkamate Penaldo yupo Potugo anacheza kimama mama na mkeweRefa ameanza kuogopa mikwara ya Messi.
NAkusubiria.Dah ni huzuni i wish i cudu be an IGP π
Sina wa kumpa.
Haunirudishiβ¦..huku ni kwangu na Dar ni kwangu. Sema nikushtue nikiwepo. Ila hilo jina π€¦π»ββοΈ
Sharp!NAkusubiria.
Jamaa anakerwa na Messi... Sijui jamaa anaishije maana Messi is everywhereScars amelaza fuvu kesho akiamka atasema assist ya Messi π ilikuwa ni kona ya offside π€£ππ½ huyu tukimundekeza atakuja kusema Tz ilitakiwa kucheza WC tatizo walinyimwa magoli na Mangungu wa 5imba
Ufike salama.Sharp!
Umeiwahi lakini.Alarm ya simu yangu ilidukuliwa na Scars sijui... Eti ndo nashituka yenyewe haijalia wala nn na mechi iko HT
View attachment 3627412
Umeamshwa na alarm ya kiroho ya goat π MESSIAlarm ya simu yangu ilidukuliwa na Scars sijui... Eti ndo nashituka yenyewe haijalia wala nn na mechi iko HT
View attachment 3627412