Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,962
Asante kwa kujaTupoo
Utajikolea kitandan ๐๐คฃI wish Argentina all bad lucky ๐
Labda toyota wish๐I wish Argentina all bad lucky ๐
Nililala bana.binti kiziwi njoo tuangalie hii mechi, Mimi natamani England itolewe japo najua Wanaweza kupita
Yaani jino limenilazimu kuamka aisee๐๐Nililala bana.
Wewe si ulisema hana lolote argentinaI wish Argentina all bad lucky ๐
Ningependa beki mmoja wa Swiss ajitoe kafara na messi abebwe na machelaI wish Argentina all bad lucky ๐
๐ฎ๐ฎ๐ฎNingependa beki mmoja wa Swiss ajitoe kafara na messi abebwe na machela
Kama walivyomfanya Mo Salah ilikuwa makusudiNooo...
Wacheze tu.
Football is beautiful game