2026 FIFA World Cup - Special Thread

Bosi nimeweka video YouTube, nimeweka mega thread yake Reddit kasome, vimeandikwa vyote unavyouliza.

Pia Fabrizio anawashika masikio Nyie msiojua ulimwengu wa Mpira, jamaa ni Fraud na anacopy KAZI za wenzake, nenda Sub za Utd, Liverpool etc ukipost source ya Fabrizio wanakula kichwa, he is that bad.

Vyombo vya habari na waandishi wakubwa wanamlalamikia Sana kwa kucopy KAZI za watu na ushahidi upo. Kama unaijua internet karibuni utamuona wa maana ila wakongwe wanajua ni Tapeli Tu.
 
Mbona swali rahisi? Kwa Nini usiseme hapa kwenye hii scandal kaandika jambo gani ambalo halijawahi kuandikwa?

Kama unamdowngrade hivyo Fabrizio basi wewe soka sio sehemu Yako sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…