Kabisa hawa ndio mabingwa watarajiwaWanetu Morocco hatuna deni na nyie, leo mmekutana na timu bora ya mashindano
Atapigwa achakaeTumewaambia...
Morocco leo inachakaa..
Tulia dawa iingieNiende wapi?
Nacheki ball mkuu
Sante sana kwa mwongozo !La tano
Mashabiki malaya malayaMorocco nawakataa kuanzia sasa makende nyie
Yupo kaishiwa power na camera yake ya mchongoYuda kashapotea uran
HahahaWanachojua ni kujitoa mhanga tu mambo ya mpira waachane nayo 😁😁
HahahaMashabiki malaya malaya
Sikupingi…Kabisa hawa ndio mabingwa watarajiwa
😁😁hakuna namna tamaa lazima ikatwe tu, we unashambuliwa mda wote na ushaliwa, labda uwe na roho ya Scars kumtetea CR7Daaah! Na Morocco wanavyojua kukata tamaa sasa
Ngoja tuone sometimes mpira una matokeo yakikatili sanaAtapigwa achakae
Kabisa..Atapigwa achakae