2026 FIFA World Cup - Special Thread

Walikua wanatetea ndoa zao kwa cr7 tangu 2006 mpaka 2026 haijui fainal ya word cup ina radha gani
 
Kuna dalili naziona kwenye hii mechi

Na haya ni mambo ambayo yanaweza kutokea.

Kufuatia pressure ya wakosoaji mitandaoni baada ya hawa waamuzi kutoka taifa moja la Argentina ina weza kuwa na mambo mawili.

Jambo la kwanza: Hawa marefa wanaweza kuwa walichaguliwa kimkakati ili waje wafanye maamuzi yatayo mnufaisha France ili baadaye ije ionekane France wamesaidiwa au kubebwa na marefa wa Argentina.

Mbinu hii itaenda moja kwa moja kuisafisha FIFA dhidi ya tuhuma nyingi ambazo imekuwa ikihusishwa pamoja na upendeleo wa wazi ambao Argentina wamekuwa wakiupata kwenye mechi zao.

Hii inaweza kufanya Morroco pia waanze kuichukia France na kusema ilibebwa, na automatically ule mjadala wa FIFA na Argentina hautakuwepo

Jambo la pili ambalo nalifikiria ni kwamba Refa wanaweza kutoa maamuzi ndivyo sivyo kwenye matukio ambayo yatakuwa wameiminya Morroco ili critics wakose cha kusema.

Halafu baadaye waje na comeback ya kuja na maamuzi ya kuja kuinyonga France ili tukose kauli ya kusema waamuzi wanainyonga France kulingana na matukio ya mwanzo yaliyokuwa yameamuliwa kwa namna inayompa advantage France.

Katika haya mawili tegemea moja.

Sehemu yeyote ambayo itakuwa na utata nitakuwa naweka vi-clips.
 
Nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…