Mwarabu wa AlgeriaHuyu familia
Subiri na uonePoyeee
Hata Mimi inanikatisha tamaa kama haipo mchezoni vile , kwa style hii sidhani kama atatoboa leoMorocco sio nnayoijua mimi, kulikoni
Mpaka iisheNilitaka nikalale tu, maana nilishakata tamaa
Ile ya I'm back akiwa na begi inanichekesha sana 😂 😆
Siku zote nipo upande boraLeo umekua upande bomba sana shikilia hapohapo
😂😂😂Ile ya I'm back akiwa na begi inanichekesha sana 😂 😆
😂😂😂 huyu familia yetu WamorokoFamilia yenu?