Unavyosema hizo, ziko wapi?Hizo review sote tumezipitia , Tena baada ya watu wengi kuzipitia wamejikuta wanawaona Egypt wapumbavu cause wanalalamikia kitu ambacho hakipo wana wacheka Kwa kushindwa kwao kukaza msuli kuzuia magoli yasirudi , Egypt walipatia chance wameichezea wao wenyewe hakuna upendeleo wowote uliofanywa Kwa Argentina
Which is totally true.And BTW tufanye Argentina na Messi wana pendelewa
refa Huwa anachezesha mpira Kwa kusikilizwa au kufuata opinion za watu wanje !? So huyo atakuwa ni refa au mwehu !?Unavyosema hizo, ziko wapi?
Wapi umeziweka utuoneshe?
Sasa kama ni tukio ambalo hadi watu waliokuwa wanatazama mpira kwenye runinga ambao una replay bado watu hao uliodai ni wengi walihitaji kupitia review ndio waje wahitimishe, kwanini refa hakuhitaji review ya VAR kwenye tukio hili lililosumbua watu kupata hitimisho?
Hivi wanatoaga wapi uthubutu wa kusema ni zaidi ya Messi 😄
Wakati unajiuliza hilo swali, namimi nikawa najiuliza.Nimejiuliza swali huyo GOAT wako Aliwahi kuisaidia nini Portugal walau kufika nusu final tu ya kombe la Dunia ktk nyakati zote ambazo Amewahi kushiriki !?
Je Amewahi kufunga goli la kuwapeleka nusu final halafu likakataliwa !? Kama hajawahi hata kufanya hivyo mara 6 zote alizowahi kucheza WC hizo guts za kumchukia Lionel Messi anapofanya mazuri mnaitoa wapi !? 😁😁😂
Scars
Mkuu refa anaendeshwa na kanuni.refa Huwa anachezesha mpira Kwa kusikilizwa au kufuata opinion za watu wanje !? So huyo atakuwa ni refa au mwehu !?
Evidence nimezileta nyingi tu pitia comment utajuta Kuna screenshot nimezipost kibao watu wakipinga kuwa ile ya mo- Salah sio faulo na wao wanasema awali walikuwa na mtazamo kinzazni kama wewe lakini baada ya kupitia video clip vyema in a slow motion wameona kwamba Salah alijiangusha pitia kwenye thread utaziona nyingi tu zipo nilizipost kwaajili ya watu type Yako
Hawezi kuleta ushahidi wowote huyo.Kuhusu uhalali au ubatili sifahamu
Ila leta faulo ilioamuriwa baada ya goli kufungwa, ndio sembuse WC ?
We jamaa unateseka sana, If you can't beat them join them. Jiunge tu na team Messi furaha yako irudiEverybody loves Chris but hates Messi
View attachment 3625774
Ila mkuu pro Argentina na FIFA wanapenda Sana mjadala uende kwenye foul ya Salah ili Kuhamisha magoli,Acha ubish maandazi Mzee Hilo tukio la Mo Salah beki aliucheza mpira kwanza akautoa miguuni mwa mo Salah na mo Salah akawa ameanza kutangulia kuanguka before mguu wake haujaugusa mguu wa beki wa Argentina, ingekuwa ni faulo endapo kama beki wa Argentina angekuwa ameugusa mguu wa mo Salah Bila ya beki huyo kuwa ameugusa mpira , Lakini beki akianza kuugusa mpira first akautoa nje ya contact foot ya mo Salah --- watu wenye Akili zao wamekaa wamepitia hizo review na hawaona kosa hapo wewe umeweka clip sijui Ina second 4 what are you trying to hide !?
Kwanini haujaweka move ya Mo Salah ilipo kuwa imeanzia wakati anajaribu kuingia ktk box !? Huo mpira beki alitangulia kuucheza first before hiyo miguu ya Salah na huyo beki haujaugusana
Tukienda kwenye faulo ya misri iliyo changia goli lao kukataliwa yule mchezaji wa misri sio tu kwamba mguu wake uligusana na beki wa Argentina but ukweli ni kwamba alimkanyaga na pia nyuma ya mgongo alikuwa anamvuta jersey yake kwanini mnaficha ukweli 😁😁😁
Hizo review sote tumezipitia , Tena baada ya watu wengi kuzipitia wamejikuta wanawaona Egypt wapumbavu cause wanalalamikia kitu ambacho hakipo wana wacheka Kwa kushindwa kwao kukaza msuli kuzuia magoli yasirudi , Egypt walipatia chance wameichezea wao wenyewe hakuna upendeleo wowote uliofanywa Kwa Argentina
And BTW tufanye Argentina na Messi wana pendelewa
Nimejiuliza swali huyo GOAT wako Aliwahi kuisaidia nini Portugal walau kufika nusu final tu ya kombe la Dunia ktk nyakati zote ambazo Amewahi kushiriki !?
Je Amewahi kufunga goli la kuwapeleka nusu final halafu likakataliwa !? Kama hajawahi hata kufanya hivyo mara 6 zote alizowahi kucheza WC hizo guts za kumchukia Lionel Messi anapofanya mazuri mnaitoa wapi !? 😁😁😂
Scars
We jamaa ni mnazi na analysis zako za uongo uongoWakati unajiuliza hilo swali, namimi nikawa najiuliza.
Hivi aliwezaje kuchukua hata ballon d'or 5, kuifikisha Portugal kwenye kufuzu kombe la dunia mara 6 mfululizo under this corruption?
Kawezaje kupata hata hayo mafanikio kwa zero cheating, zero help, zero favours, zero rigged awards, zero rigged tournaments.
Yeah that's why tunamuita GOAT because he earned, not given
Morocco hana bahatiSaa 23:00 kasoro DK34 mechi inaanza we unaona nani atakandwa
That's the same energy, CCM has been thinking towards opposition parties.We jamaa unateseka sana, If you can't beat them join them. Jiunge tu na team Messi furaha yako irudi