Kwanza kuna kitu ambacho unakiepuka kabisa kukiongea hapa na sijui kwanini.Acha ubish maandazi Mzee Hilo tukio la Mo Salah beki aliucheza mpira kwanza akautoa miguuni mwa mo Salah na mo Salah akawa ameanza kutangulia kuanguka before mguu wake haujaugusa mguu wa beki wa Argentina, ingekuwa ni faulo endapo kama beki wa Argentina angekuwa ameugusa mguu wa mo Salah Bila ya beki huyo kuwa ameugusa mpira , Lakini beki akianza kuugusa mpira first akautoa nje ya contact foot ya mo Salah --- watu wenye Akili zao wamekaa wamepitia hizo review na hawaona kosa hapo
Mimi sina ushabiki, sio mfuasi wa ronaldo wala mesi. Na timu yangu ya senegali ilishatoka. Ila kiuhalisia kinacholaumiwa ni VAR, inshu sio kuwa na uhalali au kutokuwa na uhalali wa tukio husika inshu ni kwanini refa hakujisumbua hata kwenda kwenye VAR ??. na tukio kama hilohilo na mechi hiyohiyo ila refa kakimbilia VAR kwa spidi ya mwanga tena bila kuzongwazongwa na wachezaji wa argentinaAcha ubish maandazi Mzee Hilo tukio la Mo Salah beki aliucheza mpira kwanza akautoa miguuni mwa mo Salah na mo Salah akawa ameanza kutangulia kuanguka before mguu wake haujaugusa mguu wa beki wa Argentina, ingekuwa ni faulo endapo kama beki wa Argentina angekuwa ameugusa mguu wa mo Salah Bila ya beki huyo kuwa ameugusa mpira , Lakini beki akianza kuugusa mpira first akautoa nje ya contact foot ya mo Salah --- watu wenye Akili zao wamekaa wamepitia hizo review na hawaona kosa hapo
Sina chuki na andunje ukweli upo wazi na dunia inaona wanavyopewa unfair advantage😁😁😁umfikie Andromeda Galaxy na wote wenye chuki na Lionel messi
Andunje amekuloga wewe si bure😁😁😁hisia zitawatesa sana
Unatakiwa ufahamu kwamba refa yeye siye anaye control VAR refa Huwa haendi kwenye VAR Mpaka marefa wanao monitor VAR wamwambie that's why unaona anavaa kifaa Cha mawasiliano kwaajili ya kucontact na marefa wanao control VAR ,Mimi sina ushabiki, sio mfuasi wa ronaldo wala mesi. Na timu yangu ya senegali ilishatoka. Ila kiuhalisia kinacholaumiwa ni VAR, inshu sio kuwa na uhalali au kutokuwa na uhalali wa tukio husika inshu ni kwanini refa hakujisumbua hata kwenda kwenye VAR ??. na tukio kama hilohilo na mechi hiyohiyo ila refa kakimbilia VAR kwa spidi ya mwanga tena bila kuzongwazongwa na wachezaji wa argentina
Misri siwapendi kabisa, ila tukiweka ushabiki wowote pembeni , Iyo game Argentina alibebwa.
Ni ushabiki tuu ndio unaponza tusikiri uhalisia, ila matukio ya kitata na kubebwa timu moja ni mengi tu kwenye hiyo mechi.Unatakiwa ufahamu kwamba refa yeye siye anaye control VAR refa Huwa haendi kwenye VAR Mpaka marefa wanao monitor VAR wamwambie that's why unaona anavaa kifaa Cha mawasiliano kwaajili ya kucontact na marefa wanao control VAR ,
Mods wa VAR kazi Yao nikupitia matukio yanayo endelea uwanjani so wanapo Ona kuwa Kuna tukio lenye mashaka wana muambia refa aende kujiridhisha lakini Hawa muamulii maamuzi refa akisha kwenda kupitia kwenye machine yeye ndiye wakutoa jibu kuwa ni sahihi au la !!!! So unamlaumu refa ili iweje !?
Argentina haijabebwa ni vile kile kilichotokea it wasn't goes beyond of your expectations 😁😁
Hicho ndio kinacho wauma
Unaotumia logic fallacy unakosa mantiki kabisa ingekuwa hivyo basi na faulo ambazo Huwa zinaidhinishwa na VAR mngekuwa mnazipinga basii 😆😆😆Ni ushabiki tuu ndio unaponza tusikiri uhalisia, ila matukio ya kitata na kubebwa timu moja ni mengi tu kwenye hiyo mechi.
Hilo la mawasiliano kati ya VAR room na muamuzi nalifahamu vizuri. Wewe watu wameenda mpaka kufunga goli ndio madhambi yanaonekana. Emu Kuwa serious mkuu, tumia hata logic tu.
Kifupi matukio ya kitata ni mengi kwenye hiyo game na mbona yanaonekana dhahiri vizuri tuu. Basi tuu ushabiki upofu
Hii mechi haina tofauti na Afcon.Wafaransa tushatia timu, leo tunakula pweza gizani
Camel d'or contender.Penadol 😄
Unaacha faulo mpaka goli linafungwa ndio faulo inatafutwa kupitia VAR, ulishaona wapi ??, tena WC mtoano kwa game yenye tention namna ile. Hata ingekuwa chandimu angepigwa mawe huyo refa.Unaotumia logic fallacy unakosa mantiki kabisa ingekuwa hivyo basi na faulo ambazo Huwa zinaidhinishwa na VAR mngekuwa mnazipinga basii 😆😆😆
How many time inatokea faulo refa anaacha mpira unaendelea kuchezwa then VAR mods wana muita refa na kumwambia kwamba Kuna faulo ilichezwa mbona Huwa hamlalamiki
You guys are seriously!??
BTW ZICO mchezaji wa misri alipofunga goli la 2 Alivua jezi lakini refa hakumpa card ya njano wakati inafahamika kuwa kuvua jezi wakati mchezo unaendelea ukiwa uwanjani ni kinyume Cha Sheria , so mbona hatujawasikia mkilalamika na kumshutumu refa kuwa aliwapendelea misri Kwa kutompa ZICO card ya njano wakati Alivua jersey!?
Why mnafanya double standard zaajabu !?? Aisee chuki itawaua 😁
BlackPantherWafaransa tushatia timu, leo tunakula pweza gizani
Kwanza madai yako hayakanushi kwamba Alvarez hakumkanyaga, hayakanushi kwamba clip haioneshi tukio kuu lililobeba mjajala linalo lalamikiwa la MO Salah kukanyagwa.wewe umeweka clip sijui Ina second 4 what are you trying to hide !?
Kwanini haujaweka move ya Mo Salah ilipo kuwa imeanzia wakati anajaribu kuingia ktk box !? Huo mpira beki alitangulia kuucheza first before hiyo miguu ya Salah na huyo beki haujaugusana
Una matatizo 😄Unaacha faulo mpaka goli linafungwa ndio faulo inatafutwa kupitia VAR, ulishaona wapi ??, tena WC mtoano kwa game yenye tention namna ile. Hata ingekuwa chandimu angepigwa mawe huyo refa.
Hilo la kuvua jezi ZICO mbona logically ndio linathibitisha bila shaka kuwa refarii alikuwa na mipango yake mfukoni, simply refa alijua anaenda kufuta goli la misri, angalia tu hata matukio VAR chap chap kwa spidi ya mwanga utakumbuka lini kutoa kadi kwa tukio la ZICCO ilihali kichwani unajua kabisa naenda kufuta goli lililofungwa ???.
Mkuu tukiweka ushabiki pembeni kwenye ile game argentina kuwateta ni kama mlima. Walibenwa na refa Iko wzizi mbona
Kuhusu uhalali au ubatili sifahamuUna matatizo 😄
Kwahiyo faulo zote zilizowahi kuamuliwa na VAR kuwa zipigwe bada ya move ya faulo kupita ni faulo batili ???
So kama haufahamu uhalali na ubatili, kwanini tunabishana !?Kuhusu uhalali au ubatili sifahamu
Ila leta faulo ilioamuriwa baada ya goli kufungwa, ndio sembuse WC ?
Hiyo nilijibu statement yako ya kwamba “inaama faulo zote zilizoamriwa na VAR baada ya mpira kuendelea ni batil ?”.So kama haufahamu uhalali na ubatili, kwanini tunabishana !?
Unajua nini? Miimi sipingi kwamba mchezaji wa Egypt hakumkanyaga mchezaji wa Argentina, kama unadhani mimi nhuu ndio msimamo wangu basi utakuwa husomi vizuri nacho kiandika.Tukienda kwenye faulo ya misri iliyo changia goli lao kukataliwa yule mchezaji wa misri sio tu kwamba mguu wake uligusana na beki wa Argentina but ukweli ni kwamba alimkanyaga na pia nyuma ya mgongo alikuwa anamvuta jersey yake kwanini mnaficha ukweli 😁😁😁
Unavyosema hizo, ziko wapi?Hizo review sote tumezipitia , Tena baada ya watu wengi kuzipitia wamejikuta wanawaona Egypt wapumbavu cause wanalalamikia kitu ambacho hakipo wana wacheka Kwa kushindwa kwao kukaza msuli kuzuia magoli yasirudi , Egypt walipatia chance wameichezea wao wenyewe hakuna upendeleo wowote uliofanywa Kwa Argentina
Which is totally true.And BTW tufanye Argentina na Messi wana pendelewa
refa Huwa anachezesha mpira Kwa kusikilizwa au kufuata opinion za watu wanje !? So huyo atakuwa ni refa au mwehu !?Unavyosema hizo, ziko wapi?
Wapi umeziweka utuoneshe?
Sasa kama ni tukio ambalo hadi watu waliokuwa wanatazama mpira kwenye runinga ambao una replay bado watu hao uliodai ni wengi walihitaji kupitia review ndio waje wahitimishe, kwanini refa hakuhitaji review ya VAR kwenye tukio hili lililosumbua watu kupata hitimisho?