Ngumu kumeza hii π€sema kimeumana nipo na Morocco Leo saa Tano nipo kwenye kideo tuli kama maji ya mtunginiππ€£ unasemaje hapo HammazView attachment 3625736
Leoooo kazi ipo....
Mwaka juzi Carlos Chandia ambaye ni kocha mstaafu aliwahi kusema kwenye semi final ya Copa America, Messi aliushika mpira kwa mikono kwa makusudi.πππ Scars hakuiona hii
π₯π₯π₯Hahahaa! Mi niko nyuma yako Mtani.
Akili yake ina matege huyo achana nae πππWe jamaa mambo ya utakatishaji pesa sisi hayatuhusu, furaha yetu ipo ndani ya dk 90,
Umekaa kisiasa sana thats why unatafuta hata mambo ya nje ya uwanja ili mradi tu upate furaha kwa kuikosoa Argentina, we endelea kuteseka huku sisi tukisheherekea.
Ana kosa magoli ya penalty halafu hapo hapo anaibuka shujaa Kwa kuibeba team , huyo sio mtu ni mzimuMim8 shabiki wa Messi ila swala la mabao ya penalti, messi anakosa sana penalty
ππNa mbuzi wao wamchongo kaondoka na magoli matatu tuRefa mfaransa, wasaidizi wake wawili ni wafaransa, na ufaransa tulimkuyanga na kutwaa kombe, sasa atawabeba vipi maadui zao na kuwaacha waafrika!!! Acha hizo hisia mkuu, mmetolewa na akina haaland kisha portugal wenu halafu hasira mnazihamishia kwa Messi!
View attachment 3625731
Hakuna kulalaView attachment 3625736
Leoooo kazi ipo....
Ila wee jamaa bhana uko primitive Sana πππMwaka juzi Carlos Chandia ambaye ni kocha mstaafu aliwahi kusema kwenye semi final ya Copa America, Messi aliushika mpira kwa mikono kwa makusudi.
Na wakati huo zikiwa zimebakia dakika2 mechi imalizike, na kwa kosa hilo alitakiwa kupewa kadi ya njano.
Na wakati huo Messi alikuwa tayari ana kadi moja ya njano aliyopata kwenye mechi zilizopita.
Unajua kilichotokea?
Refa akamfuata Messi na kumwambia "Hii ni kadi ya njano, lakini itakugharimu jezi yako (itabidi unipe jezi)". ChandΓa hakumuonyesha kadi hiyo ili kumlinda asikose fainali.
Alifanya butter trade, nipe jezi nisikupe njano.
Penadol πCry more Pendu Cry More idiot.
View attachment 3625817
Ukweli ni kwamba simkubali Messi na Argentina.Ila wee jamaa bhana uko primitive Sana πππ
Mnalalamika kuwa Messi ana bebwa mean while mchezaji wenu kwenye tournament kaishia kufunga magoli 3
Mnalalamika kuwa Argentina ana bebwa mean while wachambuzi wakubwa wote duniani wamepitia match review na hakuna sehemu iliyo onyesha kuwa Argentina kabebwa Salah alijiangusha before haja jiangusha beki alitangulia kuucheza mpira ,
And goal la misri lilikataliwa it was clear faulo , so hizo lawama mnazitoa wapi !? Kama mnaona wivu kisa mabao ya Messi siumwambie Goat wenu nayeye aibebe team afunge mabao mengi mtu unafunga magoli 3 halafu una depends team ipate mafanikio are you kidding me!? πππ
Kama mnaionea Argentina wivu Kwa kuchukua WC 2022 Siumwambie GOAT wenu aifikishe team yake ya Portugal walau nusu final tuone
Okay tufanye Messi na Argentina wanabebwa so Fifa ndio waliowatuma Portugal wafungwe na Morocco kwenye lats WC tournament!?
And fifa ndio walio Watumwa mfungwe na Spain in this WC tournament!? Kwanini hamtaki kukubali kuwa uwezo hamna !? ππππ
Au Kuna siku Portugal mlifunga magoli ambayo yange wavusha kwenda nusu final halafu fifa / refer wakayakataa !??
Litimu lenu libovi mnashindwa or kuliborsha kazi kukaa nakuanza kulalamika , you guys are insane for sure
Sawa bwana Sacrs tumekuelewa... Ila angalia usipate sonona na pressure kwa kumchukia MessiTatizo husomi post zangu.
Unafikiri hiyo mimi sijaiona?
Unafikiri kwanini nimesema waamuzi wote?
Hii ndio inayo tutofautisha mimi na wewe.
Argentina na Egypt kuna waamuzi wa mataifa mengine hapo wawili, umewaona?
Hii ndio inayofanya niseme katika rekodi za World Cup hakujawahi kutokea mechi moja ikawa na waamuzi wote kutoka nchi moja.
wewe umeweka clip sijui Ina second 4 what are you trying to hide !?Ukweli ni kwamba simkubali Messi na Argentina.
Hii haijawahi kuwa siri nililiweka wazi from the scratch hadi tuliokuwa nao kwenye uzi wa World Cup ya 2022 wanajua hili.
Hoja ni kwamba, je ukweli wa hoja zangu unaupima kwa kuangalia uhalisia na ushahidi nilioweka au unaupima kwa kuangalia mapenzi yangu kwa Messi?
Labda nikupe mfano mmoja.
Baada ya Messi kukosa penalty kwenye mechi ya juzi, kuna mashabiki wa Argentina na Messi humu walisema "Messi hamna kitu"
Lakini kitu kama hiki hiki nikikisema mimi kinatafsiriwa tofauti kwasababu nafahamika kuwa simkubali.
Kitu ambacho nina uhakika nacho ni kwamba mimi naweza kujitetea kwa evidence, wewe utajitetea kwa hisia za ushabiki.
Na kama nilivyosema awali, naongea haya yote sio kwa lengo la kukufanya wewe na wengine mkubaliane na mimi.
Mimi naongea na kuambatanisha evidence kwa kuweka rekodi sawa just in case huu uzi unaweza kuja kutumiwa na wadau kama reference au watu wengine ambao wangetaka kusikia stori kutoka pande zote.
Nyinyi tayari mmeongea kuhusu positive za Argentina na Messi, na mimi nitaongea ule upande ambo nyinyi hamjaongea.
Audience itachagua iende na habari gani ndio maana najitahidi kuweka ushahidi.
Umesema Salah alijiangusha. Wacha nikubaliane na wewe kwenye hili, lakini kwanza unaelewa kihezo kilichotumika kukataa goli la pili la Egypt?
VAR baada ya kufanya review goli lilikataliwa kwasababu kwenye build up mchezaji wa Egypt Marwan Attia, alimkanyaga Lisandro Martinez. VAR ilionesha mgusano kati ya mguu wa Marwan Attia na Martinez
Lakini tukio la Mo Salah pia ni incident hii hii ambapo Julian Alvarez alimkanyaga Mo Salah ndani ya box dakika ya 92 na kuanguka na hata video ukiangalia inaonesha Mo Salah akikanyagwa.
Video hii hapa chini
View attachment 3625873
Mpaka hapo sidhani kama kuna utata kuwa Alvarez hakumkanyaga Mo Salah, wote tunaona. Hoja inabaki kuwa kwanini tukio hili halikupewa attention ya kuangaliwa kwenye VAR ilihali tunaona mtu akikanyagwa?
Umedai wachambuzi wengi wakubwa wamekubaliana kuwa Egypt haikuonewa. Umesema wengi ila hujataja kwa majina na kusema ni wangapi.
So namimi nikikuonesha evidence ya kuonesha wachambuzi na ma legend wa mpira wakikubali kuwa Egypt amedhulumiwa, utasemaje? Utawaita hater?
Hawa wote walisema Egypt imenyongwa na mwamuzi.
Rob Green, Gary Neville, Garry Kasparov, Rob Green, Alan Shearer, Ian Wright, Jamie Carragher na Jose Mourinho.
Na hawa hapa chini ndio waliosema yalikuwa ni maamuzi fair
Pierluigi Collina: (Huyu ni mkuu wa waamuzi wa FIFA), Dr. Joe Machnik na Nikhil Naz
Zlatan na Henry hawakuzungumzia kabisa kuhusu controversial ya matukio na maamuzi yaliyoamuliwa.
ππππ Tayari apate mara ngapi !?Sawa bwana Sacrs tumekuelewa... Ila angalia usipate sonona na pressure kwa kumchukia Messi
View attachment 3625884