2026 FIFA World Cup - Special Thread

Msije mkategemea chochote kutoka SA. Hawa ni kama sisi tu, sema wao kidogo wanaafadhali. Hawawezi kupata hata goli 1. Wajitahidi tu mgoli yasiwe mengi kama yalivyokuwa ya Zaire ya mobutu seseseko. 1974
 
Ni kuanzia 2006 mpaka 2014
Italy
Spain
Germany

Usiingize brazil iliyoshinda 2002. Unapaswa ufaham tangu mashindano ya world cup yaanze brazil haijawahi kutoka hatua ya makundi wala 16 bora, brazil anaanziaga robo final na kuendelea
 
Msije mkategemea chochote kutoka SA. Hawa ni kama sisi tu, sema wao kidogo wanaafadhali. Hawawezi kupata hata goli 1. Wajitahidi tu mgoli yasiwe mengi kama yalivyokuwa ya Zaire ya mobutu seseseko. 1974
Ni kweli, hawa RSA hata wapewe muda hadi kesho alfajiri saa 11 wakati mechi nyingine inaanza hawawezi kupata goli hata 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…