The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,623
- 123,269
Ndio uwezo. Sio kwamba kachoma. Egypt huwa wanachoka mwishoni kama timu nyingi za Afrika. Kila mtu kachoka hapo.Salah fala sana kawachoma wenzake baada amwage maji anachelewesha mpira.
Saba sabaππkama hawa *******
taifa stars watakua kina nniπ
Usenge upi tenaHuu ni usengee
Imagine π€£π€£Kwahyo mnadhani hilo goli litafutwa kwa VAR ππ
Argentina hao wanapepea...Huu ni usengee
Kwanini mkuuArgentina wakabidhiwe kombe tu hamna timu itawafunga hawa π
Kwahyo mnadhani hilo goli litafutwa kwa VAR ππ
Nimesema hapa hata dk 6 hazijaishaKama kuna mtu anadhani hii ngoma argentina ataipeleka extra , naomba aamke kutoka usingizini