A very BIG POINT, nilikuwa nabishana na washkaji hapa, ukibaki kuzuia utafungwa TU au utasababisha fouls za kufungwaHuwezi kucheza mchezo wa kujilinda tu bila kushambulia halafu utegemee ushindi.
Ulinzi mzuri ni mashambulizi makali.
Timu za Kiafrika hazilijui hilo.
Argentina ni mbabe wa kudumu wa timu za Africa.Amtoe nani sasa mkuu. Sio kila ubovu jibu lake ni sub. Egypt siwadai hawajakosa clear chance yeyote, hawajapaki basi, hawajaacha kushambulia.
Mkubwa wasenge hawa..Huu ni usengee