Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,344
- 12,558
Pass ya kifala sana ileKipa wa Sauzi ni wa kuchapa makofi na style yake ya kupiga pasi nje ya 18
Haya mambo ya footwork tumwachie Manuel Neuer
Pass ya kifala sana ileKipa wa Sauzi ni wa kuchapa makofi na style yake ya kupiga pasi nje ya 18
Haya mambo ya footwork tumwachie Manuel Neuer
Daah mimi shabiki lao napata tabuSouth ni wabovu hamna timu hapo.
Kitamu balaaa!Cha asubuhi...
Kama mie natamani nihame ila wacha nikomae nao kwaleoDaah mimi shabiki lao napata tabu
Yaniii wananiangusha sanaKipa wa Sauzi ni wa kuchapa makofi na style yake ya kupiga pasi nje ya 18
Haya mambo ya footwork tumwachie Manuel Neuer
Nouma nanusu hioInaitwa quickly...
Njano...Nouma nanusu hio
Njano...
Muda huongea... Chupu chupu cha pili...Kitamu balaaa!
lazima nirudishe sikubaliii unikande kizembe hivi
Jembe letu limelimwa dahNjano...
Upo kwa wazulu au siyo...Refa anazidi kutumaliza nguvu kmamake tutatoboa kweli???
Hawa na Cape Verde nawakubali mnoKama mie natamani nihame ila wacha nikomae nao kwaleo
Kila la kheri kwao
Unaweza kuwa na kikosi kizuri ila bado ukawa huna timu nzuri, au kocha mtaalamu wa mpira.Bingwa Spain
😊😊😊Vibaya hivooooMuda huongea... Chupu chupu cha pili...
Ni sawa tu, wao sii wanajikuta...Jembe letu limelimwa dah