2026 FIFA World Cup - Special Thread

Boss unaangalia bolu na kisirani dhidi ya KING LEO😃 Unafurahisha sana shabiki wa Nyumbu.
Nikisema mechi iishe ndio nifurahi naweza nisifurahi kwasababu yambele siyajui.

Jana nilikuwa na siku mbaya sana na nilisema itafika time namimi nitacheka.

Wakati wenyewe nauona ndio huu sasa kwanini nisiutumie, ukiharibika je?

So yeah this is my hate watch
 
Amazing Best.

Anasubiria filimbi ya mwisho aje atusunte. Muda huu yupo busy kuwalaumu fifa kimoyo moyo kwa kutowabeba vizuri
MI sijambo kabisa best. 🥰

Hahahaaa. Mi nilialikwa nishangilie Argentina ila aliyenishawishi hata simuoni hapa.

Mtani uko wapi lakini Greatest Of All Time. Uje kujibu mshambilizi huku.
 
Safi sana
Suit yourself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…