Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Mwalimu kala rushwa hyKitendo cha kutolewa vitinha kimeiua ureno
There's time namimi nitacheka tu
Labda kama wataruhusu kucheza na mikongojoRonaldo mbishi Sana anaweza kucheza world cup ijayo, mpaka ahakikishe amebeba kombe ππππππ
Hii Spain inaweza kufanana na ile iliyochukua WC S/Africa 2010..Mamaeh kazi ya kitume sana Spain
Bravoπ₯π₯π₯