2026 FIFA World Cup - Special Thread

Morocco atafungwa na France..

Hakuna chuki.

Huo ndio ukweli. Kama unashabikia Morocco basi jia dae kisaikolojia.
Kwahiyo angekua senegal na ufaransa ungeshabikia senegal 😄 ila waarabu hapana, wazungu ni walijua kuaingiza mkenge.....

Mimi ni Argentina dam dam, Morocco na Spain

Najua wapo ambao watashabikia ufaransa kisa kuna weusi, Morocco ni waarabu pia ni waislamu so sioni ajabu kwa upande wa pili japo sio wote+baadhi ya waislamu wakishabikia ufaransa kisa weusi 😄

Morocco forever
 
Huwezi kusikia Scars akisema kitu kuhusu hilo tukio coz halijatokea kwa messi. Ila ni jambo la ajabu kuwaji kufanyika. Scars itakua ni shabiki wa Israel maana ndio dunia inawanafikiaga. Akipigwa dunia inasimama akipiga watu hawamsemi.
#Upumbavu mtupu
 
Shida inaanzia kwenye dini mkuu. Yaani aliyeleta dini alijua kutugawa sana, mtu unashindwa kuikubali Moroco coz ni nchi ya kislam. Nashukuru Mungu nishavuka kwenye upumbavu wa kuweka udini mbele
 
Huwezi kusikia Scars akisema kitu kuhusu hilo tukio coz halijatokea kwa messi. Ila ni jambo la ajabu kuwaji kufanyika. Scars itakua ni shabiki wa Israel maana ndio dunia inawanafikiaga. Akipigwa dunia inasimama akipiga watu hawamsemi.
#Upumbavu mtupu
Kwamba nafurahi maamuzi aliyoyafanya Trump?

Hapana Trump hajawahi kuwa mtu naye mkubali na hili nimekuwa nikisema tangu hata hajawa raisi kwa mara ya pili.

Ni kweli lingetokea kwa Messi ningesema tena sio kidogo, ningesema sana kwasababu huyu jamaa amekuwa petted to the fullest.
 
Messi anawatesa sana, soon lakin anastaafu national team so mtapumzika, mpambane na wakina haaland, lamine na mbape😄
 
Egipty wakinda 120 ɓ
Kwa Tz zife kwanza Simba na Yanga

Kumwanzisha CR7 ni kuifanya timu icheze pungufu. Tumemwona jinsi anavyotoka struggle hata kule Saudia ligi. Sema spain walipaswa kumpumzisha Pau Cubasi aanze hata Erick Garcia. Pau hana nguvu japo ni beki mzuri.
 
Wakuu naombeni sana mniombee siku ya leo, sijui nitakua na hali gani Spain akitoka. The night is long and full of terror
View attachment 3623912
Shida ni kuhitaji solution kwenye tatizo ambalo halikusumbui.

Shida yako inayokusumbua wewe haitatuliwi kwa maombi.

Shida yako wewe ni kuipenda Spain na Messi. Sasa maombi yanaendaje kutibu hili tatizo?

Unataka kufanya watu makoo yakauke, sauti zikwame kwa kukemea jambo ambalo halipo?

Sikujua kama mashabiki wa Messi mnaweza kufikia kiwango hiki cha usumbufu kwa wengine.
 
Egipty wakinda 120 ɓ

Kumwanzisha CR7 ni kuifanya timu icheze pungufu. Tumemwona jinsi anavyotoka struggle hata kule Saudia ligi. Sema spain walipaswa kumpumzisha Pau Cubasi aanze hata Erick Garcia. Pau hana nguvu japo ni beki mzuri.
Bora angefanya ujanja wa kumwacha nje kwanza,me naona Ureno wanapigwa tu maana wapo disorganised sana
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…