2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kikosi cha Haiti

Ratiba yao itakuwa hivi;

🏴󠁧󠁒󠁳󠁣󠁴󠁿 Scotland | June 13
πŸ‡§πŸ‡· Brazil | June 19
πŸ‡²πŸ‡¦ Morocco | June 24

 
Kwa maoni yangu michuano ya kombe la dunia2026,

ni mapambano ya mpira wa miguu baina ya mataifa ya France, England, Hispania, Portugal, Germany, Argentina, Brazil and Germany,

mataifa mengine ni wasindikizaji tu kulingana na maandalizi yao yalivyokua yasiyo na matumaini ya kuleta changamoto dhidi ya mataifa makubwa na yenye maandalizi kabambe.

Yeyote miongoni mwa mataifa hayo niliyoyataja anaweza kubeba ndoo ya dunia 2026πŸ’
 
Kombe hili ni la Hispania
 
Sawa mkuu, ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…