Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,104
- 41,726
Ht ye hana muda mrefu snSema Messi ni Messi tu yaani zama za madogo janja kina mbappe na halland lakini yeye Bado yupo tu!! Bado tu anakimbizana nao pamoja na yote aliyoyafanya kwenye mpira.
Wana kitu, watafika mbaliNorway have reached the quarter-finals of the FIFA World Cup for the first time in their history.
Erling Haaland's double knocks out Brazil. 🤖
Halaand mangapi hapo ni penati?This is the first time in World Cup history that three different players have scored 7+ goals in a single edition of the tournament
🇫🇷 Kylian Mbappé: 7 goals
🇦🇷 Lionel Messi: 7 goals
🇳🇴 Erling Haaland: 7 goals
Naah manI love England but
I will Support Norway
Ana dharau sana
Anceloti hana mbinu kwa mpira wa sasa amini nakuambia.Hamna kocha ebu wee acha utani don carlo kocha mzuri kabisa acha tuu brazil hamna timu. Kasema yeye mwenyewe kocha zaidi yake ni Ferguson tuuu🤣🤣🤣🤣
HanaHalaand mangapi hapo ni penati?
Hata Brazil leo wamekosa nafasi nyingi za waziTimu nyingi za Afrika zilikuwa zinapata fursa nyingi za kufunga magoli lakini zilishindwa.
Haaland akipata tu fursa, halazi damu.
Sijafatilia mechi zao zoteHalaand mangapi hapo ni penati?
Bao lake la pili hata halikushangiliaAna dharau sana
Basi wewe unaipenda Norway huipendi EnglandI love England but
I will Support Norway
England lolote baya liwakute. Huwezi kumuacha Captain Harry Jacob Maguire afu utegemee ufike mbaliI love England but
I will Support Norway
Limefunga likageuka likaanza kutembea kidharauBao lake la pili hata halikushangilia
Hana penaltyHalaand mangapi hapo ni penati?