100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,179
- 36,379
Ata ulaya vipaji vipo lakini wanatipita kuwa wana infrastruture ya kuendeleza hivyo vipaji.πππ yaani shule hazina madawati ila unataka ziwe na viwanja vya michezo hizi si ndoto kabisa.
Kuhusu vipaji , vipi vingi sana tu sema ndo ivo fursa hazipo na kama zipo basi rushwa au maelekezo yanakua mengi , kuna washikaji huko mashule tumesoma nao na walikua wanapiga ball vibaya sana saivi utakuta ni mafundi simu au waalimu wengine wachungajiπ.
Africa inafurahisha sana yaani mtu aliyepaswa kuwa labda mwalimu saivi ni fundi ujenzi na fundi ujenzi utakuta ni mwalimuπ
Vibaya mnooSi umeona Gabriel alivyotaabika hapo
To the worldNoway π³π΄ π³π΄
Anceloti hamna kazi pale mbinu za kizamani sana.Kocha wao huyo ndio alivyo, kocha wa kizaman na Brazil wanacheza kizaman sana
Ndio imetoka hivyo..Hii Brazil Ndio imetoka hivyo
Haiishi mpaka iisheHii Brazil Ndio imetoka hivyo
Brazil kagoma kubadilika, alitakiwa apate kocha wa kisasa, yeye anategemea kukimbiza mawinga tuu katikati hamna kituAnceloti hamna kazi pale mbinu za kizamani sana.
Ni kama Mourinho tu kuna makocha zama zao zishapita yaani Brazil anapigiwa mpira na Norway vibaya mno
Sasa jamani kwa brazili hii kweli utaipa mazimaa sii unataka kuliwa tuuMatokeo yakibaki hivi, muhindi atakuwa amevuna kibunda cha maana sana
Sema vipaji vingi Africa vimeuliwa kutokana na tu mtu kazaliwa bara la giza.Ata ulaya vipaji vipo lakini wanatipita kuwa wana infrastruture ya kuendeleza hivyo vipaji.
Kukosa madawa sii ungese wetu wenye wakujitakia
Hamna timu imeshinda world cup na kocha wakigeni bwana.....na brazil kwa sasa hawana kizazi cha maana ndio ukweli.Brazil kagoma kubadilika, alitakiwa apate kocha wa kisasa, yeye anategemea kukimbiza mawinga tuu katikati hamna kitu
πππSasa jamani kwa brazili hii kweli utaipa mazimaa sii unataka kuliwa tuu