Bora yule kuliko walichokua wanakifanya wakongo ππ na ile siku ya senegal vs France ...Na hakuna wanachokifanya huko zaidi ya kutembezewa knuckles tu.
Yaani Morocco akipata goli, sio kama yale mengine. Yeye anajua kudeal na mpinzani ili mtaji wake usipotee..
Sasa wale ndugu zetu, hasa yule aliyeongoza mbili zikarudi zote ndio takataka kabisa kashindwa kumaliza dakika 10 tu za mwisho
Drake atawapa liftWaende kwao kwa miguu
Kam kauwaaaaa ntakuepo!Tukutane saa sita
AnatubaguaUkimaanisha?
Zilivyokuwa mbili ulikuwa huamini?Kwa sasa naona wameshavuka.
Ulikuwa tuanaangalia muda
Jamaa wana game ngumu sana, wanaanzaga kama majogoo waliopigwa mvua.. ila kadri muda unavyosogea frying pan inazidi kuchemkaBora yule kuliko walichokua wanakifanya wakongo ππ na ile siku ya senegal vs France ...
Angalia chuma hiko aaah Dima maghreb