Kabisa mkuu.Mkuu labda kama ni mgeni kwenye mashindano kama haya, Senegal 2002 alimfanyaje bingwa mtetezi Ufaransa ya Zidane na wenzake
2014 New zealand alifuzu mbele ya Italy na England
Ndio maana tunapenda soka, sio mchezo rahisi kutabirika
Egypt nadhani keshauona udhaifu wa ArgentinaDuh dakika za mwisho Argentina angepasuka ni bahati tu
huku Africa bingwa anaandaliwa umelisahau hiloHawa Cape Verde wakiwa na mikakati mizuri AFCON wanaweza wakatoa upinzani mkubwa hata wa kufikia hatua ya kuchukua kombe.
Barca,PSG na Arsenal wanamtaka japo yeye inasemekana Chaguo lake ni Barca, ila mimi napenda aende PSG.Huyu Alvarez afanye namna aende timu bora yenye mpira mzuri aokoe kiwango chake, hii tikotiko naona inampoteza amekuwa kama shiboli.
#Hallelujah!!!
Hesabu zenu za vidole na mganga wenu tapeli waafurika bhn.Ila kwa mchezo kama huu kuvuka robo nyie ni ngumu sana
Argentina lazma ajpange upyaEgypt nadhani keshauona udhaifu wa Argentina
Acha tuone kama Egypt nae atatupa mechi Kali kama ya leo
Rudia kuangalia vizuri, lile ni goal, Messi alicheza na akili za mabeki. Kabla mpira haujapigwa kuja kwake alikuwa offside. Alipo ona kuna uwezekano wa kuletewa pasi alirudi ndani kuua offside, akapokea mpira akiwa on sideSema goli la kwanza la Messi sio halali
Mganga kala hela.....😄😄😄Unaambiwa mpaka sasa dm ya mganga wa ghana imejaaa request nyingi sana kutoka ureno kwa team goat
Ila ukiacha mechi ya Paraguay vs Germany,hio ndo second best mechi kwanguArgentina lazma ajpange upya
Aende seria B au SaudNext Year...
Ataweza? Umri
Sasa mbona unaongea kama mnazi wa Simba au Yanga? Maana hao wako katika dunia yao, wanaamini wanastahili kushinda kila mechi.Kabisa mkuu.
Nakumbuka vizuri hali ilivyokuwa.
paraguay walikuwa wanalinda sana ila cabo verde kacheza mpiraIla ukiacha mechi ya Paraguay vs Germany,hio ndo second best mechi kwangu
The best
Nakubaliana na weweNaweza nikasema hii ni mechi bora tokea nitizame michuano hii na sikuitegemea.