Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,956
- 142,099
Ngoma ikienda matuta Argentina hatoboi. We utaniambiaHizo ni hisia tuu
Hatoki huyo mnae hadi mwisho.Vozinya kachoka anaziga kaumia apumzike π
nikeshe na game ya Ghana yaanze kulinda badala ya kucheza mpiraTunaunga na Ghana moja kwa moja
Muda wote unawaza mabaya tuMkuu Argentina hatoboi. Hua sikoseagi aisee. My guts are always right
DaahπVoz kaenda kuweka ndagu sawa.
Mmekwisha.
πππKuna moja hiyo Messi alipiga ikaenda kwenye mbupu pengine ameenda kucheki kama zipo
Na ile speed ya wacolumbia yatakaa nyuma yalenikeshe na game ya Ghana yaanze kulinda badala ya kucheza mpira
Yan wapo slow balaaaArgentina kama vile wanayataka matuta hawana haraka!
Au Bado wanaamini watawafunga mapema kabla ya matuta