2026 FIFA World Cup - Special Thread

Strategy ya Cape Verde ni mbovu sana.

Huwezi kucheza mechi nzima unajilinda tu.

Best defense ni best offense.

Cape Verde ni kama wamekubali kuwa wao hawawezi kushambulia.

Kocha wao mjinga sana.
Kuwa compact na kumshtukiza ndio mwendo wa kuishi na Argentina na Cape verde wanauwezo huo.
 
Cape Verde suala la kushambulia wameachana nalo kabisa. Wanaokoa wanabutua mpira unashikwa na adui, wanarudi tena kuokoa. The most likely kufunga ni Argentina kwa penalty au kawaida.
Hiyo ndio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…