2026 FIFA World Cup - Special Thread

Shida ya C. Verde ni ile ile kila mmaliziaji mbele anaataka kuuza sura. Ingekuwa wanapiga kazi kazi mbona Argentina wangekuwa na wakati mgumu zaidi.

Mechi tamu ila.
Sure.
Hilo ndio tatizo kuna muda mchezo wa kitimu unapotea unakuta mchezaji anacheza kuonekana.
Anyway! I wish them good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…