Village PeopleHuyu mganga achapwe viboko popote alipoView attachment 3621776
Njia pekee ya kuiokoa Cape VerdeHawa cape Verde tunawatandika viboko vingi maana wanaongea kireno
The Sudanese Ronaldo, ni kijana wa UNHCR tangu akiwa pale Kakuma Refugees Settlement - Kenya.Huyu Mabil kafanana sana na marehemu Cheik Tiote
Hata uwanja uwe hivyo watapigwa tuuNjia pekee ya kuiokoa Cape Verde View attachment 3621783
Inogilee Mnooooooo.Ngoma inogile
Wanapigwa leoIvi cape verde watamzuia messi kweli
Hizo ni ndoto
✅Sasa nikalale.
Hawa watoto Cabo Verde Sioni wanapenyea wapi.
Ghana nao ni mwendo wa wenzake kina Senegal.