comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,131
- 16,168
Hongera sana ustaZEgypt for everyone
Hongera sana ustaZEgypt for everyone
Cry harderHongera sana ustaZ
Tupo hapa 😀😀😀😀Hakuna kitu kama hicho mzee
Dunia yote inayo furaha kumshuhudia GOATTukutane saa saba.
Hapa hapa
SafiBorn in Kenya...
Mmejisakizia kwa mtu mfupi.Cry harder
Leo haikuwa bahati ya Australia wamefurushwa rasmiGood Goos
Lazima awatandike viboko madogo wa cape VerdeDunia yote inayo furaha kumshuhudia GOAT
Yaani I wish him a very bad lucky
Penalti hainaga mbabeWamekosa
Ndio mana Mimi nasema ni shabiki wa timu za Africa, sio za kiarabu watu hawanielewResearch za umaskini wa Afrika zijikite kwenye rangi za waafrika, majibu yatapatikana tu. Haiwezekani hawa waarabu wakawa wanajitambua hivi pamoja na kwamba timu yao sio nzuri halafu Senegal waliokuwa bora wakashindwa kujitambua kwa dakika tatu tu.