2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwa hiyo tatizo ni kuzaliwa au kulelewa Africa?
Winning mindset hawana. Unawaona Morocco wale, wazawa au waliolelewa nchini kwao kwenye kikosi kile ni wangapi?

Weusi wa Ufaransa huwa wanafunga vizuri tu. Ila hawa wa kwetu wana inferiority complex wao mradi wana kagoli kamoja au wamefungwa 2-1, 1-0, 3-2 wao wanaona sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…