2026 FIFA World Cup - Special Thread

Jana nimepata sana msongo wa mawazo ajili ya Ivory coast sitarudia tena kosa la kushabikia timunya watu weusi. Mpaka nione moira umeisha kabisa ndo nitafurahia
Aah! Mi nilikuzidi hadi nikajuta kukaa macho bora ningelala zangu. Japo leo mecho ya Senegal saa tato nitaangalia pia sitaacha.

Kabisa usemacho na kwa goli hizi moja moja hadi mpira uishe ndo tunakuwa tumejihakikishia ushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…