herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,303
- 3,987
πππ sasa ww mtu maisha yake yote amekaa maeneo hawatumii kiinge angejulia wapi.Nilikuwa nacheki trailer hapa la Spider-Man
Nimegundua Messi yuko tayari kumuacha Ronaldo achukue kombe la dunia kuliko kuongea hata neno moja la kiingereza
View attachment 3619913
Muite Olise tu itatosha.Messi fans wanadai huyu jamaa hapa chini ni playmaker.
Playmaker ana goli 6 bila assist, how?
View attachment 3619901
Vipi na huyu jamaa hapa chini mwenye assist 5 na bao 1 huyu tumuite nani?
View attachment 3619903
Mexico wanakimbiza mwizi kimya kimya' Dunia haija onyesha imani kwao, Lakini kuna kitu wanakitafuta kwenye fainali hizi.Hawa Mexico kaeni chonjo, ni kama wana jambo lao
Kiapo chenu kweli ni cha damuπππ sasa ww mtu maisha yake yote amekaa maeneo hawatumii kiinge angejulia wapi.
Afu ukishakuwa na pesa mtu anaekuhitaji aje aongee na ww kwa lugha yako.
We kaza shingo tu, ila ukweli na ubora kuhusu jamaa unaujua.Kiapo chenu kweli ni cha damu
Hawafai.Ila wakuu Ufaransa wanaubonda hadi kero
Huko imeanza?Wakuu hii mechi ya Doctor Congo vs England hamtazami au???
Mtani hivi ulisema upo na timu gani?Mexico wanakimbiza mwizi kimya kimya' Dunia haija onyesha imani kwao, Lakini kuna kitu wanakitafuta kwenye fainali hizi.
Hamna bana Mkuu. Tunaeza tukatoboa.Leo tena kuna possibility ya timu mbili za Afrika kung'ooka
Hao wazingue tu ila kombe lina asilimia nyingi kutua katika himaya yaoHawafai.
Jamaa wamoto sana
Possibility ya kutoboa ni minimal ijapokuwa inawezekana piaHamna bana Mkuu. Tunaeza tukatoboa.
Kwa ustawi wa afya ya moyo wako ni bora uache kushabikia timu za afrika. Kongo hapo hawatoboi. Watapata nafasi kibao ila hakuna watakachofanya. Yoyote apite tuLeo tena kuna possibility ya timu mbili za Afrika kung'ooka
Mkuu fanya hivi kama mashabiki wa Ronaldo scars na angel nylon wanavyofanyaMtani Greatest Of All Time mi timu yangu ishatoka ndipo nipo nipo tu ilimradi siku ziende. π€£
Kwa niliyoyaona kwa Ivory coast jana basi sinabudi kusema timu za Afrika ukiacha Morocco ni papatupapatu mchuzi tia majiKwa ustawi wa afya ya moyo wako ni bora uache kushabikia timu za afrika. Kongo hapo hawatoboi. Watapata nafasi kibao ila hakuna watakachofanya. Yoyote apite tu
π€£π€£π€£Mkuu fanya hivi kama mashabiki wa Ronaldo scars na angel nylon wanavyofanya
View attachment 3619973