2026 FIFA World Cup - Special Thread

😄😄😄rudia hapo kuhusu portugal
 
Ureno wanatimu nzuri, yaani wanaviungo watatu bora ulaya Neves,Vitinha, Bruno bado kuna Bernado, Leao,Cancelo,Conceicao ,kocha nae anawaangusha. Kwa kifupi upande wa Middle, Ureno wapo vizuri ila kocha kichaa.
 
Ureno wanatimu nzuri, yaani wanaviungo watatu bora ulaya Neves,Vitinha, Bruno bado kuna Bernado, Leao,Canselo Conceicao ,kocha nae anawaangusha. Kwa kifupi upande wa Middle, Ureno wapo vizuri ila kocha kichaa.
Kwanini wasitumie uwezo binafsi? kocha anatoa maelekezo ndio, lakini kuna maxingira unatakiwa kama mchrzaji bora uonyeshe kitu tofauti, wale jamaa wapiga pasi nyingi zisizo na faida , yaani pasi zisizo na madhara kwa mpinzani
 
Messi fans wanadai huyu jamaa hapa chini ni playmaker.

Playmaker ana goli 6 bila assist, how?




Vipi na huyu jamaa hapa chini mwenye assist 5 na bao 1 huyu tumuite nani?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…