2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ila gonga ni kugonge ya safari hii, sioni kama Argentina atabahatika safari hii ni kweli eneo la ulinzi kuna tatizo lakini naamini pale mbele patasahihisha makosa ya ulinzi, they are deadly Infront of the goal, watu weusi wa maana kabisa
Ye ule utatu inaweza kusababisha yule muhun beki wa spurs akala umeme mapema game ikawa rahis kwa ufaransa

ila roho inaniambia Spain au Morocco atamtoa ufaransa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…