2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hard work pays bro!
Tz tuache janja janja na siasa kwenye mpira, tuwekeze haswa kwenye soka, inalipa sana.
Tatizo soka letu linaingiliwa na watawala ili kujinufaisha, kisiasa kumbe ndio wanaharibu kabisa! Tanzania inamwamuko mkubwa sana kwenye upande wa mpira wa miguu. Kuliko hata nchi senegal, kunaupande tutenganishe ili upande mwingine tufanikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…